We can help you tell the difference
between facts & fakes

Share
Comments

Mwigulu Nchemba ahamishwa Wizara ya Fedha kuwa Waziri wa Kilimo?

Prof Adolf [email protected] wa Fedha na Mipango, Dr. [email protected] wa Viwanda na Biashara. [email protected] Waziri wa Kilimo. Mama katuwahi kabla hatujaenda Burundi.

Nimekutana na hii taarifa katika groups za WhatsApp, ni ya kweli?

Last Updated on August 26, 2021 by Mexence Melo

Our narrated version of the story

Habari hii si ya kweli

Habari hii imesambaa kwa kuanzia mtandao wa Twitter lakini si ya kweli. Mwigulu anaendelea kuwa Waziri wa Fedha na Mipango na hakuna taarifa rasmi toka Serikalini juu ya mabadiliko (makubwa wala madogo ya Baraza la Mawaziri

Last updated on August 26th, 2021 at 04:46 pm

0 0 votes
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments

Just In

View All

Fake

View All

Fact

View All

Welcome back

New to Jamii Check ?

File size limit: 20 mb

Post submited. Thank you !

Welcome to

Register

Already registered ?