We can help you tell the difference
between facts & fakes

Share
Comments

Rais wa Awamu ya Pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi amefariki?

Kuna tetesi mitandaoni Twitter na WhatsApp kuwa Rais wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi (Mzee Ruksa) amefariki dunia, ukweli ni upi?

Last Updated on June 9, 2021 by Mexence Melo

Our narrated version of the story

Ni taarifa za uongo

Ikulu ya Zanzibar leo Juni 9, 2021 imetoa ufafanuzi na kusema Mzee Mwinyi ni buheri wa afya na kuwataka watanzania kupuuza tetesi hizo.
0 0 votes
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments

Just In

View All

Fake

View All

Fact

View All

Welcome back

New to Jamii Check ?

File size limit: 20 mb

Post submited. Thank you !

Welcome to

Register

Already registered ?