We can help you tell the difference
between facts & fakes

Share
Comments

Risasi zinarindima Dar?

Kuna taarifa kuwa kuna mtu anarusha risasi mataa ya Stanbic jijini Dar, ni kweli?

Our narrated version of the story

Ni kweli, mhusika amedhibitiwa

Jamii Forums imefuatilia na kujiridhisha kuwa tukio hili ni la kweli. Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, (IGP) Simon Sirro amethibitisha kuuawa kwa askari wawili kwenye mapambano ya kurushiana risasi yaliyotokea eneo la Daraja la Salenda jirani na Ubalozi wa Ufaransa, Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea leo Jumatano Agosti 25, 2021 baada ya mtu mmoja ambaye hajafahamika kuzua taharuki baada ya kufyatua hewani risasi huku akisikika akisema kuwa anawatafuta polisi. Akizungumza katika kikao kazi cha maofisa wa polisi, Sirro amesema mtu huyo naye ameuawa kwa kupigwa risasi.
0 0 votes
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments

Just In

View All

Fake

View All

Fact

View All

Welcome back

New to Jamii Check ?

File size limit: 20 mb

Post submited. Thank you !

Welcome to

Register

Already registered ?