We can help you tell the difference
between facts & fakes

Share
Comments

Watumishi walioondolewa kwa vyeti feki mwaka 2017 wamerudishwa kazini?

Kuna taarifa zinasambaa kuwa idadi kubwa ya watumishi walioondolewa kazini mwaka 2017 kuwa walikuwa na vyeti feki wamerudishwa kazini. Fuatilieni wakuu

Our narrated version of the story

Ni kweli, Watumishi 4,380 walioondolewa kwa vyeti feki mwaka 2017 wamerudishwa kazini

Katika Mkutano huo wa TALGU, Waziri Mkuu amesema: Baada ya maelekezo ya Serikali kutolewa, tathmini ilishafanywa ya kuwatambua, na ikaonesha kuwa zoezi la kuwarejesha watumishi kazini lilitekelezwa na waajiri kwa kiwango cha ufanisi mkubwa. Maamuzi ya serikali yalikuwa ni kuwarudisha mahali pa kazi. Hadi sasa watumishi 4,380 wamerejeshwa kwenye orodha ya malipo ya mishahara kupitia mfumo wa taarifa ya utumishi na mishahara ambao tunautumia serikalini na wanaendelea na majukumu yao. Kama imetokea kuna mtumishi miongoni mwa wale ameachwa, bado Wakurugenzi wa Halmashauri wapokee taarifa hizo, ziletwe kwetu ili tuzipeleke Utumishi kwa ajili ya kuziratibu.
0 0 votes
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments

Just In

View All

Fake

View All

Fact

View All

Welcome back

New to Jamii Check ?

File size limit: 20 mb

Post submited. Thank you !

Welcome to

Register

Already registered ?